Mtu huyo ambaye anasadikiwa kuwa ni mgonjwa wa akili aliyekuwa akiishi kwenye kibanda cha wafanyakazi wa reli waliokuwa wakiongoza magari kwenye makutano hayo ya barabara ya korogwe na Reli ya kati eneo hilo la Masika.
lmelezwa kwamba baada ya shirika hilo la reli kuyumba kuichumi kwa kipindi kirefu wafanyazi waliokuwa wakiongoza magari kwenye eneo hilo waliacha kazi hiyo hivyo mgonjwa huyo wa akili aliamia kwenye chumba hicho na kubeba jukumu la kuongoza magari pindi treni inapofika kwenye eneo hilo.
"Huyu jamaa alikuwa ni mwendesha mkokoteni kwenye hizi mashine za mpunga kwa mshangao wa wengi miezi minne iliyopita jamaa kachanganyikiwa,akilia kwa kuwa kabla hajawa chini aliwashuhudia wafanyakazi wa reli wakiongoza magari eneo hili,hivyo baada ya wafanyazi hao kuacha kazi hiyo Chizi huyu aliamu kuhamia kwenye chumba hicho na kubeba jukumu hilo la kuzuia magari treni inapofika eneo hilo,muda huu treni ya abiri kutoka Mwanza imefika eneo hili kwa kasi kubwa hivyo jamaa baada ya kusiki mugurumo wa teni katoka ndani ya chumba chake kwa kasi ya haraka na kwa bahati mbaya alianguka upande wa reli na kugongwa na treni hiyo"alisema shuhuda wa ajari hiyo Bw Juma Athuman ambaye anafanya biashara ndogo ndogo jirani na eneo hilo.
Wananchi wakishanga mwili huku askali akiongoza magali kupita pembeni.
Askari wakisaidiana na wananchi kingiza mwili katika gari ya polisi
Damu ikimwagika kwa wingi
Kibanda alicho kuwa akiishi kijana huyo
Kibanda alichokuwa akiishi kijana huyo kinavyonekana kwa mbali
Askari wa usalama wakiongoza magari wakati wa ajali hiyo
Kwa hisani ya http://www.globalpublishers.info/
<<<
0 comments:
Post a Comment