Kuhusu uhuru wa dini
UTANGULIZI
1. Wanadamu wa nyakati hizi wanazidi kuwa macho sana kuhusu HESHIMA YA KIUTU (Dignitatis Humanae)[1]; na inaongezeka idadi ya wale wanaodai kuwa binadamu wafanye mashauri yao wenyewe na washike wajibu wao kwa uhuru katika vitendo vyao na wasiwe watendaji wa kulazimishwa, bali waongozwe na hisia ya wajibu wao. Wakati huohuo wanadai kikomo cha kisheria cha nguvu ya serikali ili kuzuia
Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini
UTANGULIZI
Tukichunguza hazina ya uhakiki uliofanywa katika taaluma ya fasihi ya Kiswahili na kuiweka katika mizani, upande mmoja ubebe tahakiki zilizozingatia maudhui na mwingine zile zilizoangaza fani, upande wa maudhui utalemewa na uzito na kuanguka. Ni kweli kuwa umuhimu wa fasihi katika jamii unatokana na jinsi ambavyo inaimulika jamii na kuichora kwa madhumuni ya kuihakiki na
Wanaume msiogope kutahiriwa
WASWAHILI husema kazi ni kazi! Wengine husema kazi nzuri ni ile iliyouwezesha mkono kwenda kinywani. Lakini, kwa bahati mbaya, baadhi ya wanajamii hasa wa siku hizi wamekuwa wakichagua kazi huku wengine zaidi vijana, wakidai kuwa hakuna ajira.
MWANZO MWEMA SIO MWISHO MWEMA
Magoma bi bi bi! ndiyo yalinigutusha kutoka usingizini. Mara nilisikia ile sauti nyororo kama kinanda ya ngoi ikiongoza wimbo, ambao kwa kawaida uliimbwa katika sherehe za arusi. Niligutuka kwa haraka, kuitupilia blanketi yangu mbali na kujisongeza dirishani na kupenyeza pazia. Kumbe kulikuwa kumekucha kwa kiasi hicho!