Menyu

Swahili Hub

Keitta, Alex wamtabiria Lady May ushindi


Baada ya kutolewa kwa washiriki, Keitta wa Ghana na Alex wa Kenya, wote wamemtaja mshiriki kutoka Namibia, Lady May kuwa anaweza kuibuka mshindi.



Wakizungumza na jarida hili kwa njia ya simu kutoka Afrika Kusini, wote waliwataja watu watatu ambao wanadhani kuwa wataibuka kidedea mwishoni mwa wiki ijayo.


Keitta aliyekuwa wa kwanza kuzungumza ambapo alisema kuwa, kwa upande wake anampa nafasi kubwa ya ushindi, Lady May akifutiwa na Wati na wa mwisho kabisa Talia.


Alex alisema anadhani mshindi wa mwaka huu atakuwa mmoja kati ya hawa wafuatao; Lady May, Wati au Keagan.


Keitta ambaye ni mwanamuziki pia alisema anaamini Lady May ni mwanamke shupavu hivyo angependa pia kushirikiana naye katika baadhi ya nyimbo zake.


<<<<

0 comments:

Post a Comment